
Leo katika ligi kuu vodacom Tanzania bara VPL, madimba matatu yatachezewa michezo ambapo michezo hiyo itakuwa ni
Mtibwa Sugar VS Azam FC >> saa 10: 00 jioni uwanja wa Manungu Complex
Majimaji Fc VS Ruvu Shooting >> saa 10: 00 Jioni Uwanja wqa Majimaji
Stand United VS Kagera Sugar >> saa 10:00 Jioni Uwanja wa Kambarage
Lakini pia kunako ligi kuu ya Hispania leo kutapigwa michezo ikiwemo na
Espanyol VS Las Palmas >> Saa 8: 00 Mchana
Real Mandrid VS Legenes >> Saa 1: 30 Usiku
Villarreal VS Celta >> Saa 3: 45 Usiku
Pia ligi kuu ya uingereza EPL, itachezwa michezo ikiwemo na
Liverpool Vs Stoke >> Saa 8:30 Mchana
Burnley VS Brihton >> Saa 11:00 Jion
Crystal Palace VS Leicester .>> Saa 11: 00 Jion
Huddersfield VS Everton >> Saa 11: 00 Jion
Newcastle VS West Bromwich >> Saa 11: 00 Jion
Southampton VS Bournemouth >> Saa 11: oo Jion
Swansea VS Chelsea >> Saa 1: 30 Usiku
0 comments:
Comment hapa