Morocco ni miongoni mwa nchi za kiafrika ambayo inapatikana kaskazini mwa bara la Afrika ambapo mji wake mkuu ni mji wa Marrakesh, ikiwa inapakana na bahari ya Atlantic na mediterania na milima ya rugged, pia Morocco inapakana na nchi ya Algeria, Spain na magharibi mwa jagwa la Sahara.
Raia wengi wa Morocco ni raia wenye asili ya kiarabu na wanaotumia kiarabu kama lugha yao ya mawasiliano
Taifa la morroco lilikuwa chini ya taifa la ufarasa mnamo mwaka 1912 hadi mwaka 1956 mara baada ya sultani Mohamed kuwa mfalme wa taifa hilo mnamo mwaka 1957, baadae mfalme mohamed alifariki dunia mnamo mwaka 1961 na badala yake mototo wake Hasani wa pili alishika madaraka ambapo aliongoza kwa miaka 34.
baada ya marehemu mfalme Mohamed Hasani wa pili ambae alikuwa baba wa mfalme wa sita, Morocco ilianza kuwa chini ya mfalme Mohamed wa sita mnamo mwaka 1999 ambapo alianzisha mabadiliko ya kisiasa na kiuchumi nchini Morocco.
Mohamed wa sita alianzisha sera ya marekebisho ambayo ilijulikana kama Mudawana sharia ambayo ilitoa kipaumbele sana kwa wanawake.
Mnamo mwaka 2010 nchini morocco kulianzishwa katiba mpya ya nchi ikielezea mamlaka ya waziri mkuu na bunge na kumvalisha jukumu la kuwa mkuu wa kila idara serikalini.

Ikumbukwe kuwa, mnamo mwaka 1984, Morocco kupitia Mfalme Hassan II, babake mfalme wa sasa, iliamua kujiondoa katika umoja huo wakati huo ukifahamika kama Umoja wa Nchi Huru za Kiafrika (OAU), kufuatia uamuzi wa umoja huo wa kuafiki uanachama wa Jamhuri ya Sahara Magharibi iliyojitangaza kuwa huru, licha ya serikali ya Rabat kuihesabu kuwa sehemu ya ardhi yake.
falme Mohammed wa VI wa Morocco ametangaza wazi azma ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ya kutaka kurejea katika Umoja wa Afrika AU, baada ya kuondoka katika umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.
Mfalme huyo amewatumia ujumbe viongozi wa Kiafrika walioshiriki mkutano wa Umoja wa Afrika uliofanyika Kigali, mji mkuu wa Rwanda na kusema wakati umefika kwa nchi hiyo ya Kiarabu kurejea katika nafasi yake kwenye umoja huo. Mfalme Mohammed VI wa Morocco aliwaambia viongozi wa AU katika ujumbe huo kuwa, ingawaje Morocco iliondoka AU, lakini haikuondoka barani Afrika.
Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo, Salahuddine Mezouar hivi karibuni amekuwa katika safari za kidiplomasia katika nchi kadhaa za Kiafrika zikiwemo Misri, Libya, Sudan, Senegal, Tunisia, Cameroon, Cote D'ivoire na Ethiopia ili kuzitaarifu kuhusu uamuzi huo wa Rabat.
Kwa mara ya kwanza kihistoria Tanzania ilimpokea mfalme Mohamed wa sita wa Morocco akitokea nchini Rwanda kuja nchini Tanzania kufanya ziara ambayo ilianza toka jumapili tarehe 23 mpaka tarehe 25 juma la nne katika wiki.
Aidha, ziara ya mfalme huyo, mbali na kujikita katika kujenga diplomasia ya nchi hizo mbili, ilitumika pia kuiomba Tanzania kusaidia kupokewa kwa Morocco katika Umoja wa Nchi za Afrika (AU).
Hii ndio morocco nchi inayokaliwa na watu wenye asli ya kiarabu.
Hii ndio morocco nchi inayokaliwa na watu wenye asli ya kiarabu.
Imeandikwa na
Japhet japhetemail: japhetjaphet1993@gmail.com
.
0 comments:
Comment hapa