Waathiriwa wa uhalifu wa kivita DR Congo kufidiwa $1m
Mahakama ya kimataifa kuhusu uhalifu wa kivita ICC imewalipa fidia ya dola 250 waathiriwa 297
walioathiriwa na kiongozi wa waasi nchini DR Congo Germain Katanga.
Huu ni uamuzi wa kwanza kuhusu fidia inayolipwa waathiriwa baada ya mshtakiwa kupatikana na hatia.
Kulingana na ujumbe wa Twitter uliotumwa kutoka mahakama hiyo, waathiriwa pia watatafutiwa nyumba na usaidizi mwengine, lakini kwa kuwa Katanga hana fedha, mahakama hiyo inategemea
Marekani yazuilia mali ya maafisa wawili wa DR Congo.
Kiongozi huyo wa waasi alipewa hukumu ya miaka 12 kwa uhalifu dhidi ya binaadamu na uhalifu wa kivita wakati wa shambulio la kijiji cha Bogoro.
Sasa anazuiliwa katika jela nchini DR Congo.
source BBC
0 comments:
Comment hapa