Mgeni Rasmi kwenye Ibada ya Eid Fitry Mkoa wa Dar es Salaam anatarajiwa kuwa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Ali Hassani Mwinyi
hayo yameelezwa na Shekh Mkuu wa Mkoa Alhadi Mussa jana Alhamisi alipozungumza na waandishi wa habari Jijini hapa.
Shekh Mkuu wa Mkoa amesema kuwa Ibada hiyo itafanyika kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja na kwamba waislamu wote wanataraji wanaalikwa kwenye Ibada hiyo.
Eid inatarajiwa kuanza kuwa siku ya Jumatatu sawa na Tarehe 26 Juni ambapo yapo matazamiao ya mwezi kuandama. ibada inatarajia kuanza rasmi saa moja na nusu asubuhi.
0 comments:
Comment hapa