leo mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania bara Dar es salaam Young Africans wamewakaribiwa wanalambalamba, Azam FC katika dimba la taifa ambapo katika kipind cha kwanza Yanga ilionekana kuwa na mpira wa taratibu huku Azam wakiwa na mpira wa kasi.
mpaka mapumziko timu zote mbili zilikuwa hazijafungana, mnamo kipind cha pili kuanza kila timu ilionekana kuwa na uchu wa kutafuta goli,
mnamo dakika ya 70, mabeki wa Azam FC walitegeana kati ya Amoah na Mohamed, Chirwa akaiwahi pasi ya Niyonzima na kuwaaadhibu kwa mkwaju mkali uliogonga mwamba wa juu na kujaa wavuni,
TAKWIMU
Kabla ya mechi hii, Yanga na Azam FC zimekutana mara 17. Mechi ya leo inakuwa mechi ya 18 tokea zilipoanza kukutana kwa mara ya kwanza msimu wa 2008-09.
Kabla ya mechi hii, Yanga na Azam FC zimekutana mara 17. Mechi ya leo inakuwa mechi ya 18 tokea zilipoanza kukutana kwa mara ya kwanza msimu wa 2008-09.
Kati ya hizo, rekodi zinaonyesha hivi;
Yanga IMESHINDA 5
Azam FC IMESHINDA 5
SARE 7
0 comments:
Comment hapa