Wednesday, June 06, 2018

Ijue Ratiba Ya CECAFA- Kagame Cup

Michuano ya CECAFA Kagame Cup inatarajia kuanza Juni 28 hadi Julai 13 mwaka huu mjini Dar es Salaam. ambapo itachezwa katika viwanja viwili, ambavyo ni Chamanzi na uwanja wa taifa.  Ambapo Azam FC ndiyo mabingwa wa mwisho wa michuano hiyo ilipofanyika Tanzania, walipowafunga Gor Mahia 2-0 katika fainali Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam, mabao ya waliokuwa washambuliaji wake hatari, John Raphael Bocco dakika ya 17 na Muivory Coast, Kipre Herman Tchetche dakika ya 64.

TAZAMA RATIBA HAPO CHINI





SHARE THIS

0 comments:

Comment hapa